Posts

LARDEO YAKABIDHIWA CHETI CHA KUTAMBUA MCHANGO WAKE

Image
LARDEO- Katavi washiriki maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika na kukabiziwa cheti toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Katavi kwa jitihada zinazofanywa na Taasisi ya Lardeo katika kuzuia na kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto Maadhimisho hayo yamefanyika katika kata ya Mwamkuru Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi.