LARDEO YATAMBULISHA MRADI WA MTOTO KWANZA KATAVI.
Shirika lisilo la kiserikali la Lake Rukwa Development Organization #Lardeo limetamburisha mradi wa #MtotoKwanza wa mwaka mmoja wenye thamani ya Mil 30 Mkoa wa Katavi.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Filbert Chundu ameeleza kuwa mradi huo utakwenda kuwasaidia watoto wote.
Comments
Post a Comment