Posts

Showing posts from June, 2023

LARDEO YATAMBULISHA MRADI WA MTOTO KWANZA KATAVI.

Image
  Shirika lisilo la kiserikali la Lake Rukwa Development Organization #Lardeo limetamburisha mradi wa #MtotoKwanza wa mwaka mmoja wenye thamani ya Mil 30 Mkoa wa Katavi. Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Filbert Chundu ameeleza kuwa mradi huo utakwenda kuwasaidia watoto wote.

LARDEO YAKABIDHIWA CHETI CHA KUTAMBUA MCHANGO WAKE

Image
LARDEO- Katavi washiriki maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika na kukabiziwa cheti toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Katavi kwa jitihada zinazofanywa na Taasisi ya Lardeo katika kuzuia na kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto Maadhimisho hayo yamefanyika katika kata ya Mwamkuru Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi.